Ni noma sana... OKWI NA SSERUNKUMA WAIPAISHA SIMBA
Mabao mawili yaliyofungwa na mganda Sserunkuma na kupikwa na mganda mwingine Emmanuel Okwi yameipatia ushindi Simba wa bao 2 kwa 1 dhidi ya jkt ruvu.S
imba iliyochapwa bao 2 kwa 1 na mbeya city siku 3 zilizopita imerejesha imani kwa washabiki wake walioanza kupatwa na mashaka ya timu hiyo kushuka daraja.
Post a Comment