Timu hizi zipo kwenye mipango ya kumpeleka Pepe kwenye EPL
Pepe baada ya kugundua kuwa hana furaha na maisha ya maisha ya Bernabeu na anajiandaa kuondoka. Source: Daily Express
Manchester United wanajiandaa kumsajili Dragovic , timu hiyo ya Manchester united imeanza mazungumzo na timu ya Dynamo Kiev juu ya usajili wa kiungo huyo japo anahusishwa kutua Inter Milan. Source: Daily Star
Liverpool kumuwania Stindl kama mrithi wa Gerrard Liverpool ambaye anatarajia kuondoka kilabuni hapo msimu huu. Source: talkSPORT
AS Roma kuwadondokea Adebayor au Soldado ili kuirithi nafasi ya Mattia Destro amabaye ameenda kukipiga AC Milan. Source: Evening Standard
Southampton wanajiandaa kuwasajili Vihena na Djuricic, bosi wa Southampton Ronald Koeman yupo tayari kuwasajili viungo Vihena kutoka Feyenoord kwa dau la paun millioni 4 na Filip Djuricic kwa mkopo kutoka Benefica. Source: Daily Express
Arsenal wanajiandaa kuingia sokoni tena wakitaka kumsajili Morgan Scheinederlin wa Southampton.Arsenal wamejiandaa kutoa dau la paun millioni 15 kwajili ya kumleta kiungo huyo Emirates. Source: Metro
Real Madrid wa,ekubali kumsajili golikipa wa timu ya River Plate Augusto Betalla , makubaliano hayao yamekuja baada ya mabinga hao kufikia hitimisho la mazungumzo yao na timu yake na wanatarajia kutangaza habari hizo hivi karibuni
Post a Comment