JWTZ wapata ajali

Ni katika hali isiyo ya kawaida, Kifaru Mali ya Jeshi la wananchi wa Tanzania kilipoteza mwelekeo na kugonga nyumba ya raia na kusababisha kifo cha mmiliki wa nyumba hiyo pamoja na askari wawili wa Jeshi hilo.

No comments