AMUUA MKEWE KWA SULULU, AJINYONGA





INAWEZA kuwa dawa?! Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Isaya M. Hangaya (30), mkazi wa Goba jijini Dar amemuua mkewe, Mery Charles Lugusha (26) kisha naye kujinyonga kisa kikisemekana ni mchepuko wa mwanamke huyo.
Waombolezaji wakisali kuiombea rehema nafsi ya marehemu, Isaya M. Hangaya (30) na aliyekuwa mkewe Mery Charles Lugusha (26).
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea wiki iliyopita ambapo kwa mujibu wa ndugu wa marehemu  na majirani, wanandoa hao walikuwa na ugomvi tangu Agosti mwaka huu ambapo mume alikuwa akimshutumu mkewe kwamba anachepuka njia kuu.

No comments