Ronaldo aweka rekodi tena
Cristian Ronaldo ameendeleza ubabe wake wa rekodi baada ya kuisadia Real Madrid kupata ushindi
wa bao 3 kwa 0 dhidi ya Getafe, bao lingine lilifungwa na Gareth Bale hata hivyo Ronaldo mejiwekea rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa historia ya Real Madrid kushinda mabao mengi nje ya Santiago Bernabeu baada ya kuandika bao lake la 27 na la 28 msimu huu katika mechi ya leo
Post a Comment