Manchester City ni miongoni mwa clabu ambayo imekuwa ikitumia gharama
kubwa sana ili kutengeneza kikosi bora Duniani.Mbali na Man cty zipo pia
Barcelona, Real Madrid,Chelsea n.k
Leo tunazungumzia clabu ya MANCHESTER CITY ambayo makao yake makuu ni
katika jiji la Manchester la pale nchini England huku ikiwa inamilikiwa
na bilionea wa kupindukia wa kiarabu Mansour bin Zayed Al Nahyan.
Manchester City ni miongoni mwa clabu kubwa kabisa Duniani ambayo Star yeyote anaweza kucheza bila wasi wasi wowote.
Leo nataka tukumbushane hawa mafundi wa soka waliowahi kuitumikia clabu
hii na wanaoendelea kuitumikia,kisha hapa chini kuna maswali ambayo
ningependa tubadilishane mawazo.
WASHAMBULIAJI WALIOWAHI KUITUMIKIA NA WANAOENDELEA KUITUMIKIA MANCHESTER CITY.
ROBINHO (£32.5m, September 2008- August
2010, 16 goals )
2010, 16 goals )
JO (£18m, July 2008-July 2011, 6 goals)
EMMANUEL ADEBAYOR (£25m, July 2009-
August 2012, 19 goals)
August 2012, 19 goals)
CARLOS TEVEZ (£47m, July 2009-June 2013,
74 goals)
74 goals)
ROQUE SANTA-CRUZ (£17.5m, July 2009-July
2013, 4 goals)
2013, 4 goals)
EDIN DZEKO (£27m, July 2011- ?, 70 goals)
MARIO BALOTELLI (£24m, August 2010-
January 2013)
January 2013)
SERGIO AGUERO (£38m, July 2011- ?, 94
goals)
goals)
STEFAN JOVETIC (£22m, July 2013 -?, 11
goals)
goals)
ALVARO NEGREDO (£20m, July 3013 -?, 23
goals)
goals)
WILFRIED BONY (£25m, January 2015 - ?)
Je,Manchester City imepata mafanikio ya kuridhisha ukilinganisha na gharama walizozitumia kusajili hao washambuliaji?
Je,Ma-Supper Star kama Leo Messi ,Cr7 wanaweza kufanya makubwa zaidi ya
hayo yaliyowahi kufanywa na yanayoendelea kufanywa na hawa Mafundi wa
City kama Aguero,Jovetic,na Dzeko endapo watatua clabuni hapo?
Post a Comment