MITIKISIKO YA PWANI ILIVYOTIKISA MASHABIKI DAR LIVE
Msaga Sumu akiwapagawisha mashabiki waliofurika Dar Live kushuhudia Mitikisiko ya Pwani.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na burudani kutoka kwa Msaga Sumu.
Bi. Hindu na Dida wakipigana vijembe.
Bi. Hindu akiwasalimia mashabiki wa Simba.
Dida akikata mauno.
Burudani zikiendelea.
Dar es Salaam Modern Taarab wakitumbuiza.
Team Dida ikiwa jukwaani.
Jukwaa likiwa tayari kwa ajili ya shoo.
Mshereheshaji wa shoo hiyo, Dida, akiamshaamsha.
Shoo hiyo inayosimamiwa na Times FM ikiongozwa na mtangazaji maarufu wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, Dida Shahibu, ilijaza umati wa watu hadi kukawa hapatoshi uwanjani hapo huku makamuzi yakifanywa na Jahazi Modern Taarab, East African Melody, Dar- es- Salaam Modern Taarab, Mashauzi Classic, Khadija Kopa, bila kumsahau bingwa wa vigodoro, Msaga Sumu
Post a Comment