RIPOTI YA ESCROW, LEO NDIYO LEO

Ripoti itakayowasilishwa bungeni hii hapa.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiilinda ripoti hiyo usiku kucha.
Wajumbe wa kamati wakiipitia ripoti hiyo kabla ya kuwasilishwa leo bungeni.
LEO ndiyo siku iliyokuwa ikisubiriwa baada ya mbinu za kila aina za kutaka kuzuia mjadala wa ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL ambapo Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) itawasilisha bungeni maoni yake kuhusu ripoti ya kuchotwa zaidi ya shilingi bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow

No comments