AJALI MBAYA YA MOTO MPAKANI MWA ZAMBIA NA KONGO


Magari makubwa yakiwaka moto baada ya moto huo kuzuka maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo.
Picha tofauti juu zikionesha baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ya moto.
Ajali mbaya ya moto imetokea  jana majira ya saa kumi na moja jioni maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo

No comments