MSIKITI WA HINDU, DAR WANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO



MSIKITI wa Hindu uliopo mtaa wa Kibasila eneo la Posta jijini Dar es Salaam, umenusurika kuteketea kwa moto baada ya kushika moto uliounguza baadhi ya vitu katika msikiti huo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, chanzo cha moto huo ni hitilafu katika umeme.

No comments