Mahakama:Pistorius hakukusudia kuua


Jaji katika kesi ya Oscar Pistorius, amesema
upande wa mashitaka umekosa ushahidi wa
shitaka kuu la kwanza dhidi ya Pistorius kuwa
alikusudia kumuua mpenzi wake Reeva
Steenkamp.

No comments