Jamaa auawa na wananchi wenye hasira Mjini Morogoro

Jamaa (Jina halijafahamika) ameuawa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira Mjini Morogoro akidaiwa kuwa ni mwizi. Inasikitisha sana
Hii imetokea leo asubuhi mtaan wa pili mjini Morogoro

No comments