CHADEMA KUMSAMEHE ZITTO


Mwanasiasa mashuhuri nchini , ZItto Kabwe
anatarajiwa kusamehewa na chama chake -
Chama cha Demokrasia na Maendeleo
( Chadema) .
Kwa mujibu wa habari za ndani ya CHdema
zinasema , mpango wa kumsamehe Zitto
unatokana na hatua ya mbunge huyo wa Kigoma
Kaskazini kuomba " yaishe. "
Anayetarabu mpango wa kumsamehe Zitto ni
mmoja wa viongozi wa juu wa chama hicho na
unatarajiwa kufanikisha muda mfupi ujao.

No comments