Lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga nguzo ya umeme maeneo ya Amasia huko Handeni mkoani Tanga leo. Wananchi wakishuhudia moto mkubwa uliozuka katika ajali hiyo.
Post a Comment